#NEWS : Marapa 10 Ghari duniani kuwapata kwenye show, na hiki ndicho kiasi wanachotoza kwa show moja - BambaOne Media

Breaking

Thursday, November 20, 2014

#NEWS : Marapa 10 Ghari duniani kuwapata kwenye show, na hiki ndicho kiasi wanachotoza kwa show moja

Hii ni takwimu inayoonesha wasanii ambao ni ghari sana kuwapata katika show moja, wafatao ni marapa kumi ghali zaidi na kiasi wanachotoza kwa show....
10) Wiz Khalifa ($115,000)

9) J. Cole ($125,000)
8) Kendrick Lamar ($125,000 plus)
7) 50 Cent ($150,000)
6) Nicki Minaj ($250,000 plus)
5) Lil Wayne ($300,000 plus)
4) Drake ($350,000 to 600,000)
3) Macklemore ($350,000 to $700,000)
2) Kanye West ($500,000 – $1,000,000)
1) Jay-Z ($1,000,000)

No comments:

Post a Comment