#NEWS Je, Ni kweli Jose Chameleone Kafilisika? - BambaOne Media

Breaking

Thursday, November 20, 2014

#NEWS Je, Ni kweli Jose Chameleone Kafilisika?

Inavyosemeneka Mwanamuziki nguli na mwenye umaarufu afrika mashariki Jose Chameleone amefilisika, tetesi hizi zimeenea nchini Uganda kua jose alijaribu kujiingiza katika biashara ya madini ya dhahabu na ndio sababu ya watu kudai amefilisika...... Je ni kweli Jose Chameleone kafulia?

No comments:

Post a Comment