#VIDEO : UNIT X - Mahusiano ( Official Video) - BambaOne Media

Breaking

Monday, February 29, 2016

#VIDEO : UNIT X - Mahusiano ( Official Video)

Nyimbo mpya ya Unit X Mahusiano, katika kila safari ya mapenzi mwanzo hua mtamu sana, pale unapompenda mtu lakini hujui uanze vipi. Sheby katoa dukuduku lake kwa anayempenda wanze mahusiano. Produced by Abba process and Directed by Adam juma. Enjoy

No comments:

Post a Comment