#NEWS : Peter Okoye wa P- square aomba msamaha kwa drama aliyofanya mitandaoni.. - BambaOne Media

Breaking

Thursday, February 18, 2016

#NEWS : Peter Okoye wa P- square aomba msamaha kwa drama aliyofanya mitandaoni..

Baada ya Peter Okoye wa P-Square ku tweet kuhusiana na kutompenda kaka yao 'Jude Okoye' ambaye pia ni meneja ya wa sanii hao 'Peter wa P-Square athibitisha kuwepo tofauti kati yao na meneja wao ambaye ni kaka yao mkubwa', Kitendo ambacho kilizua mzozo baina ya mapacha hao Peter Okoye na Paul Okoye 'Huu ndio mwisho wa P-Square? Warushiana vijembe Instagram'.
Peter aomba msamaha kupitia Instagram nakuandika "I am not perfect i make mistakes, and it hurts people. But when I say sorry I mean it. I am so SORRY for my actions. I sincerely apologize..." Pia post hiyo akairudia kwa maneno kwenye mtandao wa Twitter.

No comments:

Post a Comment