Video queen Gigy Money ambaye hivi karibuni alikuwa kwenye vichwa vya habari za burudani baada ya msanii Tekno Miles kutoka Nigeria, kukana kuwa na mahusiano naye, amefunguka jipya na kuweka wazi watu ambao aliwahi kuwa na mahusiano nao
Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Television, Gigy alisema kuna baadhi ya wasanii alishawahi kuwa nao kwenye mahusiano akiamini watamtoa kimaisha, lakini ilikuwa kinyume na kuishia kuchezewa tu.
"Mimi nilishawahi kudate na Hemed PHD nikiamni atanitoa nitatoboa, lakini wapi, Hemedi alishawahi kugombana na Rich Mavoko kwa ajili yangu, tena kipindi hiko niko form two, unajua maisha kila mtu kuna aliyopitia, nilishawahi kuwa na mtu ambaye hata hatuendani lakini nilikuwa nalazimika, mtu ameshanimilikisha gari, nyumba, tukitoka nalazimika kuvaa angalau nifanane nae kiutu uzima", alisema Gigy.
Akiendelea kuelezea harakati za maisha yake anasema pamoja na Rich Mavoko kugombana na Hemedi, lakini pia alishawahi kumuharibia kwenye mahusiano yake ambayo alikuwepo kwa wakati huo, na kumtaka kuacha tabia za kike. "Richard akaharibu mahusiano yangu, Richard kama Richard aache tabia za kike", alisema Gigy.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Welcome to Bamba One Media, your trusted destination for timely, engaging, and wide-ranging content from across the globe. We go beyond just headlines, bringing you a complete media experience that keeps you informed, aware, and connected to what matters most.
At Bamba One Media, we cover it all. From hard news shaping the world, to the latest in entertainment and music, from fast-moving sports updates to insights in business and finance, and the innovations driving the future in technology, our platform is built to keep you ahead of the curve.
Behind the platform is a voice driven by passion and purpose: delivering fresh, relevant, and compelling stories every day. Whether it’s breaking news, rising artists, major sporting moments, market trends, or viral stories making waves online, we aim to bring clarity, perspective, and energy to every piece of content.
Bamba One Media isn’t just about staying informed; it’s about experiencing the world in real time.
Welcome to Bamba One Media - Your Daily Source for News, Culture, and Innovation.
Stay connected. Stay updated. Stay ahead.



No comments:
Post a Comment