Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa RnB, Chris Brown, Karrueche Tran, amedai kwamba muda mwingi anamuota msanii huyu akiwa anaomba radhi.
Akizungumza na Hollywoodlife.com, Karrueche alisema: “Nimekuwa nikimuota mara kwa mara, lakini haimaanishi kama kuna mpango wowote wa kurudiana, kwa upande wangu sina mpango huo hata kama akija kuniomba radhi. Katika ndoto zangu ninamuona akiwa ananiomba radhi na mimi nakataa, kwa sasa naweza kuwasiliana naye kawaida,” alisema Karrueche.
Hata hivyo, baada ya wawili hao kuachana, Karrueche alisema kwamba bado anampenda msanii huyo na kama akijisikia kurudi kwake atampokea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Welcome to Bamba One Media, your trusted destination for timely, engaging, and wide-ranging content from across the globe. We go beyond just headlines, bringing you a complete media experience that keeps you informed, aware, and connected to what matters most.
At Bamba One Media, we cover it all. From hard news shaping the world, to the latest in entertainment and music, from fast-moving sports updates to insights in business and finance, and the innovations driving the future in technology, our platform is built to keep you ahead of the curve.
Behind the platform is a voice driven by passion and purpose: delivering fresh, relevant, and compelling stories every day. Whether it’s breaking news, rising artists, major sporting moments, market trends, or viral stories making waves online, we aim to bring clarity, perspective, and energy to every piece of content.
Bamba One Media isn’t just about staying informed; it’s about experiencing the world in real time.
Welcome to Bamba One Media - Your Daily Source for News, Culture, and Innovation.
Stay connected. Stay updated. Stay ahead.



No comments:
Post a Comment