#BREAKINGNEWSb : Msanii wa Bongo fleva Mez B afariki Dunia - BambaOne Media

Breaking

Friday, February 20, 2015

#BREAKINGNEWSb : Msanii wa Bongo fleva Mez B afariki Dunia

Msanii wa Bongo fleva Mez B amefariki Dunia leo mkoani Dodoma kutokana na ugonjwa wa homa ya mapafu.

Bwana ametoa Bwana ametwa Jina la bwana lihimidiwe #RIPMezB

No comments:

Post a Comment