#NEWS : M Rap Lion muziki toka shuleni - BambaOne Media

Breaking

Wednesday, January 21, 2015

#NEWS : M Rap Lion muziki toka shuleni



Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini M Rap Lion

Rapa M Rap Lion ameweka wazi kuwa amekuwa na historia nzuri kimuziki ambapo kipindi cha nyumaakiwa shuleni alikuwa akiimba kwaya na kupiga ngoma na pia sambamba na kufundishwa muziki kiasi. 
M Rap amesema kuwa, alikuwa na uwezo mkubwa katika kupiga ngoma na kujipatia umaarufu shuleni, na vilevile uwezo wa kuimba akiwa ameanza kuonesha uwezo huu katika ngoma yake mpya.

No comments:

Post a Comment