#Picha: Mwana FA Na Ali Kiba Wakifanya Video Ya Kiboko Yangu - BambaOne Media

Breaking

Thursday, December 11, 2014

#Picha: Mwana FA Na Ali Kiba Wakifanya Video Ya Kiboko Yangu

Mwana FA ambaye kwa sasa anatamba na single yake  ‘Kiboko Yangu’ aliyofanya na Ali Kiba yuko mbioni kukamilisha video ya wimbo huu ambayo inafanyika nchini Kenya.
Hizi Ni baadhi ya picha walizoweza kushare nasi kupitia instagram zao.

No comments:

Post a Comment