Peter Okoye wa P-Square ameanzishaa mwenyewe studio yake aitwaye P-Classic Record, ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni yake P-Classic Group. Peter tayari ameshamSign msanii wa kwanza na kuanza kua msimamizi wake,ambaye pia ni binamu yake aneitwa Malcolm Obinna Clint Onyeyiri, aka Malcoholic Obinna
Alipost picha za msanii wake huyo wa kwanza katika lebel kwani msanii huyo anamuonekano wa kuvutia.
hapa ni baadhi ya picha alizokua anamtambulisha kwenye account yake ya Instagram
No comments:
Post a Comment