#NEWS : GEEZ MABOVU AMEFARIKI DUNIA. - BambaOne Media

Breaking

Wednesday, November 12, 2014

#NEWS : GEEZ MABOVU AMEFARIKI DUNIA.

Msanii wa Hip hop Geez Mabovu amefariki dunia usiku wa saa moja jana baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa miezi kadhaa

Wiki kadhaa zilizopita Geez Mabovu alielekea kwao Iringa kwa matibabu zaidi na ndipo hali yake ilibadilika na kuwa mbaya hadi umauti ulipomkuta hii Leo.

R.I.P Geez Mabovu

Sikiliza moja ya kazi zake za mwisho alizowahi kufanya 

No comments:

Post a Comment