#NEWS : DIAMOND AMZUNGUMZIA ALIYEMUIMBIA WIMBO - BambaOne Media

Breaking

Tuesday, November 18, 2014

#NEWS : DIAMOND AMZUNGUMZIA ALIYEMUIMBIA WIMBO

Msanii wa muziki wa Bongo fleva anaefanya vizuri  Diamond Platnumz leo kwenye account yake ya mtandao wa kijamii wa facebook, alifunguka juu ya kumzungumzia msanii anaechipukia anaeitwa MEDA kutoka mkoani Iringa, kua anaitaji saupport ili aweze kufikia malengo yake kimuziki

Diamond amefanya hivyo kutokana na msanii huyo kufanya wimbo unaomzunguzia Diamond na mafanikio aliyoyaopata kuokana na muziki anaofanya

alipost kwa kusema
"Kiukweli simfahamu... Sijawai hata kumuona, Wala kuzungumza nae.....na sio kwasababu Eti kaniimba mimi, hapana!... ila ni userious na uzuri wa kazi aliyoifanya ndio vimenifanya nione ni vizuri kumleta kwenu hapa wadau ili kwa pamoja tumsupport naye kesho na keshokutwa afikie malengo ya kazi yake na kuwa Balozi mzuri wa nchi yetu kupitia Bongo flavour..Huyu hapa! Anaitwa MEDA kutoka IRINGA" 

hapa ni video ya Mwanamuziki huyo inayoitwa "Barua kwa Diamond"

No comments:

Post a Comment