#NEWS : Bado nasimamiwa na familia asema Meninah: - BambaOne Media

Breaking

Wednesday, November 12, 2014

#NEWS : Bado nasimamiwa na familia asema Meninah:

Msanii wa muziki Meninah la Diva, ameweka wazi kuwa muziki wake kwa sasa unasimamiwa bado na familia yake, akiwa bado hajakutana na menejimenti ambayo ipo 'strickt' na tayri kufanya naye kazi kwa sasa.
Meninah La Diva katika mahojiano yake na eNewz ya kituo cha luninga cha EATV  amesema kuwa, anaamini kuwa usimamizi wa namna hii utakuja wenyewe kwa mipango ya Mungu, ambapo atatangaza rasmi kwa mashabiki wake.

CREDIT: EATV

No comments:

Post a Comment