#NewsPicha: Bushoke aanza kufanya video yake mpya na msanii wa Uganda - BambaOne Media

Breaking

Tuesday, October 14, 2014

#NewsPicha: Bushoke aanza kufanya video yake mpya na msanii wa Uganda

IMG_2183



IMG_2182
Muimbaji wa Bongo Flava, Bushoke ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini ameshoot video ya wimbo wake mpya akiwa na msanii wa Uganda, Face Off.


IMG_2181



Bushoke amesema wimbo huo unaitwa ‘She Wants It’ na umeimbwa katika lugha tatu, Kiswahili, Kiingereza na Kiganda. Video imefanyika jijini Cape Town katika location tatu tofauti huku kampuni iliyohusika ikiitwa Dirty Soul. Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo.



IMG_2187
IMG_2180

No comments:

Post a Comment