10). TOM CLEVERLY:
Manchester United kwenda Aston Villa..
Cleverly ilikuwa inaaminika na wengi kuwa moja ya nyota ya baadaye katika timu ya Manchester United ila baadae alitolewa kabisa katika idadi ya wachezaji wenye nafasi kwasababu alishindwa kuonyesha uwezo wake kamili. Wakati kila mtu alidhani atapewa muda zaidi na kuwa alitoroka dirisha hili la uhamisho na baadae kuuzwa na kwenda Aston Villa.
9). BOJAN KRKIC:
FC Barcelona kwenda Stoke City FC.
Moja ya wachezaji waliotokea na kuwekewa matarajio ya baadaye ya Barcelona ila baadaye kusainiwa kwake na Stoke City,.
8) SAMUEL ETO’O:
Chelsea FC (hurut) kwenda Everton FC
Baada ya kumaliza mwaka mmoja akiichezea huku akiwa na mahusiano sio mazuri na bosi wa Chelsea, Eto'o aliyethubutu na kumuhakikishia kila mtu kwamba yeye bado ana uwezo wa kucheza ligi ya mabingwa msimu huu lakini aliishia kusaini kwa Everton.
7). DIDIER DROGBA:
Galatasaray kwenda Chelsea.
6). MARIO BALOTELLI:
Ac Milan kwenda Liverpool FC.
Mario alirudi italy baada ya kutumika katika na timu ya Man City na akidhaniwa katulia kwa utukutu aliokua nao uwanjani, alijiunga na klabu ya AC Milan, na baadaye bila matarajio akaamua kurudi Uingereza na kusainiwa na Liverpool wakati huu
5). FRANK LAMPARD:
New York City FC kwenda Manchester city FC.
Ingawa anatumika kwa mkopo, ila hakuna mtu alietarajia kuona Lampard akiwa katika jezi yoyote ya timu ya uingereza. Mkonwe huyo wa Chelsea alisaini na kwenda kuchezea new york City FC nje ya nchi lakini alifanya kurudi na kuwapa mashabiki mshangao na kujiunga na Man City kwa mkopo..
4). DANNY WELBECK:
Manchester united kwenda Arsenal FC.
3). RADAMEL FALCAO:
Monaco kwenda Manchester united.
Falcao daima amekuwa gharama katika soko la uhamisho. Pamoja na ukosefu wa mabingwa wa ligi ya mpira wa miguu katika old Trafford na riba kutoka timu kama Real Madrid, hakuna mtu aliona falcao anaweza kuja Manchester United. alisaini kwa faida kubwa...
2). BROWN IDEYE:
Dynamo kiev kwenda west bromwich albion.
1). CESC FABREGAS:
FC Barcelona kwenda Chelsea.
Cesc, kama Bojan pia ni mchezaji aliyetegemewa na FC Barcelona ambaye alishawai kuwa nahodha wa arsenal kabla ya kurudi barcelona katika msimu wa mwaka 2011/2012 na wengi wanatarajia yeye ndio alikuja kuchukua nafasi ya Xavi. Mbali ya kuwa na arsenal , Cesc aliwai pia kushiriki katika ligi "El Classico" walicheza na Real Madrid wakati huo Mourinho alikuwa meneja wa Real Madrid. Cesc ni mchezaji mwenye soka la kuvutia sana akiwepo uwanjani, baadaye alisaini kwa moja ya timu ambayo ni mpinzania mkubwa wa arsenal timu ya Chelsea iliyo chini ya Jose Mourinho. CESC NI SASA BLUE!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Welcome to Bamba One Media, your trusted destination for timely, engaging, and wide-ranging content from across the globe. We go beyond just headlines, bringing you a complete media experience that keeps you informed, aware, and connected to what matters most.
At Bamba One Media, we cover it all. From hard news shaping the world, to the latest in entertainment and music, from fast-moving sports updates to insights in business and finance, and the innovations driving the future in technology, our platform is built to keep you ahead of the curve.
Behind the platform is a voice driven by passion and purpose: delivering fresh, relevant, and compelling stories every day. Whether it’s breaking news, rising artists, major sporting moments, market trends, or viral stories making waves online, we aim to bring clarity, perspective, and energy to every piece of content.
Bamba One Media isn’t just about staying informed; it’s about experiencing the world in real time.
Welcome to Bamba One Media - Your Daily Source for News, Culture, and Innovation.
Stay connected. Stay updated. Stay ahead.












No comments:
Post a Comment