#NEWS: Nicki Minaj anasema akuwai kulala na Drake wala Lil Wayne kwenye wimbo wake mpya 'ONLY' - BambaOne Media

Breaking

Wednesday, October 29, 2014

#NEWS: Nicki Minaj anasema akuwai kulala na Drake wala Lil Wayne kwenye wimbo wake mpya 'ONLY'

Weezy, Drizzy na Chris Brown wameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Nick Minaj uitwao 'ONLY' 
Minaj anaetarajia  kutoka na albamu yake ya tatu, Pinkprint - ambayo imekuwa imerushwa  hadi Desemba 15. katika wimbom huo alikanusha kuwa hakuwai kulala na Drake wala Lil Wayne ambao ni Member wenzake wa kundi la Young Money..

haya ni maneno aliyoyaimba katika wimbo huo
"ish. She kicks off "Only" by setting some things straight: "I never fucked Wayne/I never fucked Drake/ All my life, man, fuck's sake/ If I did I'd menage with 'em and let 'em eat my ass like cupcake."

Sikiliza hapa


No comments:

Post a Comment