#News : Mwana FA kutoa wimbo akiwa na Ali Kiba wiki hii.. - BambaOne Media

Breaking

Monday, October 20, 2014

#News : Mwana FA kutoa wimbo akiwa na Ali Kiba wiki hii..


Mwana FA anatarajia kuachia ngoma mpya Jumatano hii aliyomshirikisha Ali Kiba.. wimbo huo unaoitwa "kiboko yangu" chini ya mtayarishaji M. Chali wa MJ Records

No comments:

Post a Comment