#News: Lady Jaydee kuibadili Nyumbani Lounge kuwa ‘M.O.G Bar & Restaurant’ October 31, - BambaOne Media

Breaking

Tuesday, October 14, 2014

#News: Lady Jaydee kuibadili Nyumbani Lounge kuwa ‘M.O.G Bar & Restaurant’ October 31,


Jide2
Lady Jaydee ametangaza jina jipya la sehemu ambayo Machozi Band ilikuwa ikitumbuiza na kufahamika kama Nyumbani Lounge. “Narudi kazini rasmi Baada ya miezi 4 ya uvivu. Karibuni tar 31 October M.O.G 82 Ada Estate, Tranic Plaza Pale pale”  ameandika Jide katika account yake ya Instagram.

No comments:

Post a Comment