#News : KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE - BambaOne Media

Breaking

Monday, October 13, 2014

#News : KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE

WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu.

No comments:

Post a Comment