#NEWS: FID Q AMPENDEKEZA MR.BLUE KUFANYA KOLABO NA T.I - BambaOne Media

Breaking

Friday, October 10, 2014

#NEWS: FID Q AMPENDEKEZA MR.BLUE KUFANYA KOLABO NA T.I

Mwimbaji wa Muziki wa Hip Hop hapa nchin Farid Kubanda maarufu kwa jina la Fid Q jana wakati akipiga story na Aplifaya alisema kauwa ingetokea T.I kakubali kolabo na Mtanzania, basi kama Ngwea angekuwepo angefaa lakini kutokana na hilo nafasi hiyo Fid Q kampendekeza Mr Blue

No comments:

Post a Comment