#NEWS : CHID BENZ ATUPWA RUMANDE HADI NOVEMBA 11 - BambaOne Media

Breaking

Tuesday, October 28, 2014

#NEWS : CHID BENZ ATUPWA RUMANDE HADI NOVEMBA 11

Msanii Chid Benz mchana huu amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni 

1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
2. Kusafirisha madawa ya kulevya
3. Utumiaji wa madawa ya kulevya

Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11ambapo ataletwa tena kizimbani.

Dhamana itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaoeleweka na pesa taslimu milioni 1

No comments:

Post a Comment