#NEWS: Diamond Ametajwa Kuwania Tuzo Za Headies Za Nigeria, - BambaOne Media

Breaking

Tuesday, September 30, 2014

#NEWS: Diamond Ametajwa Kuwania Tuzo Za Headies Za Nigeria,

Msanii Diamond ametajwa kuwania tuzo zingine za Nigeria zinazofahamika kama The Headies 2014. Diamond ametajwa kwenye kipengele cha Msanii bora wa Afrika yani [ Best African Artist] na anachuana na wakali kama Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana na REBess.

No comments:

Post a Comment