# NEWS : VODACOM YAENDELEA KUWA MDHAMINI MKUU WA DANCE 100% - BambaOne Media

Breaking

Friday, July 18, 2014

# NEWS : VODACOM YAENDELEA KUWA MDHAMINI MKUU WA DANCE 100%

VODACOM YAENDELEA KUWA MDHAMINI MKUU WA DANCE 100%

Vodacom Tanzania kwa mara nyingine tena wameendelea kuwa wadhamini wakuu wa mashindano ya Dance 100 kwa mwaka huu wa 2014 na lengo kubwa ni kuinua vipaji hivi vya uchezaji nchini Tanzania.

Television ya EATV kesho itazindua rasmi shindano la Dance 100% kwa mwaka huu. Shindano hilo lenye mvuto na ubora wa hali ya linarudi tena kwa kasi mpya ikiwa ni mara ya tatu mfululizo,shindano ambalo limewavtia vijana wenye umri kati ya miaka 14 mpaka 25 wakishindana kucheza kwenye mashindano haya ya Dance 100% kuwania ubingwa na zawadi ya fedha Taslimu.

SHARE habari hii na marafiki.

Bofya hapa kusoma zaidi

http://eatv.tv/news/entertainment/vodacom-yaendelea-kuwa-mdhamini-mkuu-dance-100

No comments:

Post a Comment