B’HITZ yaonesha Studio nyingine - BambaOne Media

Breaking

Tuesday, June 24, 2014

B’HITZ yaonesha Studio nyingine

B’hitz inaendelea kutanua matawi kwa kuwa na studio kadhaa zinazorahisisha utendaji wa kazi kutoa muziki mzuri kama kawaida.
Ukiacha studio zilizopo Kawe Beach, CEO wa B’Hitz ameshare picha ya studio nyingine matawi na kueleza kuwa zipo nyingine nyingi ambazo anashindwa azipe namba gani.



No comments:

Post a Comment